У нас вы можете посмотреть бесплатно MWENDOKASI WAIFIKIA SANAMU LA ASKARI, BARABARA SAMORA YAFUNGWA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
DAR ES SALAAM: SANAMU la Askari, moja ya alama kuu za kihistoria jijini Dar es Salaam, lipo kwenye maboresho kupisha matengenezo ya miundombinu ya Barabara ya Mabasi Yaendayo Haraka (BRT), maarufu 'Mwendokasi'. Hatua hiyo ni sehemu ya juhudi za Serikali ya Tanzania kupunguza msongamano wa magari katika jiji la biashara. Sanamu hilo, lililoko katika eneo la Posta Mpya, limekuwa kivutio cha kihistoria na kielelezo cha mchango wa askari wa Kiafrika waliopigana Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: / spotileo-176. . HabariLeo: / habarileo DailyNews: / dailynewstz INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09