У нас вы можете посмотреть бесплатно Wawekezaji wa reja reja washiriki hisa chache Kenya Pipeline или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wawekezaji wengi wa reja reja wa humu nchini walisusia kuwekeza katika hisa za kampuni ya Kenya Pipeline wakipata asilimia 2.56 pekee ya hisa zilizouzwa. Hata hivyo waziri wa hazina ya kitaifa john mbadi anasema serikali imepata shilingi bilioni 106 kutoka uuzaji huo. Wengi wa wawekezaji wakiwa taasisi za humu nchini waliopata asilimia 41 ya hisa. Serikali ya kenya itasalia na asilimia 35 ya hisa.