У нас вы можете посмотреть бесплатно Watuhumiwa 23 wa utapeli wa ajira wadakwa Tabora или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Watu 23 ambao ni baadhi ya viongozi wa Kampuni ya Alliance in Motion Global, wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Wilaya ya Tabora kwa tuhuma za kufanya udanganyifu kwa vijana zaidi ya 100 ambao walipigiwa simu kutoka mikoa ya Manyara, Arusha, Singida, Dodoma na Morogoro kwa lengo la kuwapatia ajira zenye mshahara mnono, badala yake wakatapeliwa. Akizungumza na Mwananchi leo Julai 11, 2024, Mkuu wa Wilaya ya Tabora, Deusdedit Katwale amesema wamefikia uamuzi huo baada ya kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya hiyo kubaini kuwa vijana hao wanahangaika baada ya kutapeliwa.