У нас вы можете посмотреть бесплатно HEALING AND DELIVERANCE [BABY VICTORIA]- APOSTLE DAVID MURWA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Shalom mpendwa, barikiwa sana unapotazama uponyaji wa binti VICTORIA aliyekuwa ameingizwa kwenye chama devil wirshipers. VICTORIA huzimimia nakujipata kwenye chumba kilicho na giza ambacho watu wengi wapo kwenye mkutano wa kishetani, huku wanapewa nyama na damu za binadamu.Alikiri kuwa rafiki yake amepewa jukumu la kunyonya watu damu kisha akaahidiwa kufanywa malkia.kwa bahati nzuri VICTORIA hakuwa amepewa jukumu lolote.Kupitia kwa maombi,alifunguliwa na kukombolewa. ALimuomba mamake msamaha kwa mambo yote maovu aliyomfanyia. Mama yake alimtamkia maneno ya baraka na kumsamehe.Mtumishi wa MUNGU Apostle David Murwa, alimtabiria kwamba atakuwa daktari wa moyo.SIFA KWA MUNGU !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!