У нас вы можете посмотреть бесплатно Exclusive Interview na Jabali La Sheria Wakili Msomi Peter Kibatala Kuhusu Kesi ya Lissu | Part One или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#tanzania #chadema #habari Takriban kila Mtanzania ana kiu ya kusikia kutoka kwa mtu mmoja, jabali la sheria nchini Tanzania, Wakili Msomi Peter Kibatala, kuhusu kukamatwa kwa Mheshimiwa Tundu Lissu na hatimaye kufunguliwa mashtaka ya uhaini. #JasusiTV imejibidiisha na kumtafuta Wakili Msomi Kibatala na kufanya nae mahojiano exclusive. Mahojiano hayo yana sehemu mbili, ambapo video hii ina sehemu ya kwanza na sehemu ya pili itawajia hapo kesho. Jitahidi uwezavyo usikilize mahojiano kamili kwani sio tu yanatoa mwanga kuhusu kesi ya Mheshimiwa Lissu bali pia ni darasa muhimu la sheria kutoka kwa mwanasheria huyo mbobezi