• ClipSaver
  • dtub.ru
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

Je Muwasho ktk Ujauzito huwa ni Dalili ya nini? | Mambo gani ya kufanya ili kuondokana na muwasho? скачать в хорошем качестве

Je Muwasho ktk Ujauzito huwa ni Dalili ya nini? | Mambo gani ya kufanya ili kuondokana na muwasho? 4 года назад

скачать видео

скачать mp3

скачать mp4

поделиться

телефон с камерой

телефон с видео

бесплатно

загрузить,

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Je Muwasho ktk Ujauzito huwa ni Dalili ya nini? | Mambo gani ya kufanya ili kuondokana na muwasho?
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: Je Muwasho ktk Ujauzito huwa ni Dalili ya nini? | Mambo gani ya kufanya ili kuondokana na muwasho? в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно Je Muwasho ktk Ujauzito huwa ni Dalili ya nini? | Mambo gani ya kufanya ili kuondokana na muwasho? или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон Je Muwasho ktk Ujauzito huwa ni Dalili ya nini? | Mambo gani ya kufanya ili kuondokana na muwasho? в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



Je Muwasho ktk Ujauzito huwa ni Dalili ya nini? | Mambo gani ya kufanya ili kuondokana na muwasho?

Mambo yanayopelekea kupata Muwasho katika Ujauzito wako ni kama ya fuatayo; Mimba inaweza kusababisha ukapata Muwasho kutokana na sababu kuu mbili; 1. Mabadiliko ya Homoni wakati Ujauzito. 2. Ongezeko la Tumbo wakati wa Ujauzito hususani kwenye Mimba ya kwanza au Mimba ya Mapacha. Pamoja na hizo sababu lakini kuna Makundi makuu matatu yanayopelekea kupata Muwasho wa ngozi katika Ujauzito ambayo ni. A. Kundi la kwanza ni Mtindo wa Maisha ya Mjamzito kama. I. Kuvaa Nguo zinazobana ktk kipindi cha Ujauzito. II. Kuvaa Nguo zisizo tengenezwa na Pamba. III. Kuoga Maji ya Moto. IV. Kutumia Sabuni na Perfume zinazo pelekea muwasho katika Ujauzito. V.Ngozi ya Tumbo kukauka na kuvutika. NB:Endapo una dalili tajwa hapo juu na unatabia hizo tajwa unachotakiwa kufanya ni kuchana na tabia hatarishi na pia unaweza kutumia MAFUTA YA NAZI AU CALAMINE LOTION. B.Kundi la pili ni kuhusiana na Magonjwa ya Ngozi katka Ujauzito! Mfano: Pruritic Urticaria Papules na Plaques vile Prurigo, hapa unahitaji kuonana na Daktari Bingwa wa Ngozi. C. Endapo upo katika Kundi hili la tatu ni hatari sana unahitaji kuonana na Daktari bingwa na kutazamwa kwa Ujirani zaidi kwa sababu huweza kuathiri Afya ya Mtoto na Mama pia hii ni kutokana na shida iitwayo Intrahepatic Cholestasis of Pregnancy (ICP). Katika kundi hili Mama huwa na dalili zifuatazo. Kuwashwa kwenye viganja vya Mikono au Miguuni. Muwasho huwa zaidi kipindi cha jioni/usiku. Kuwa na historia ya kuwa na dalili hizo katika baadhi ya ndugu katika ukoo husika. Kupata Choo cheupe. Kupata Mkojo mweusi na nk. NB; Uonapo dalili hizo wahi hospital kuonana na Daktari. Je muwasho ktk Ujauzito husababishwa na nini? Bonyeza link hii ili kujifunza zaidi    • Je Muwasho ktk Ujauzito huwa ni Dalili ya ...   Mtoto huanza kucheza tumboni mwa Mama Mjamzito miezi mingapi??? Bonyeza link hii ili kujifunza zaidi    • Mtoto huanza kucheza tumboni mwa Mama Mjam...   Ufanye nini ili kuondokana na upungufu wa Damu katka kipindi cha Ujauzito??. Bonyeza link hapa.    • Ufanye nini ili uondokane na Upungufu wa D...   Je Mjamzito hujifungua wiki ya ngapi na wakati gani Uchungu huweza kuanza na salama zaidi? Bonyeza link hii kusikiliza.    • Mama mjamzito anaweza kujifungua kuanzia w...   NB: Ukitaka kujifunza zaidi ni fuatilie YouTube kwa jina la Dr.Mwanyika au bonyeza link hapo 👇👇👇👇    / drmwanyika   Ukiwa unamaswali unaweza kuuliza hapa chini (kwenye comments za youtube). Subscribe,Comment and Share JapideAfya_Services Your Health is Our Health Instagram as @JapideAfya_Services Facebook page as @JapideAfya_Services ©Dr.Mwanyika. #MamaAfya #Muwasho #DrMwanyika

Comments
  • Mtoto kucheza tumboni | Ni sababu zipi hupelekea Mtoto kutocheza au kuacha kucheza tumboni?? 5 лет назад
    Mtoto kucheza tumboni | Ni sababu zipi hupelekea Mtoto kutocheza au kuacha kucheza tumboni??
    Опубликовано: 5 лет назад
  • Dalili hizi za uchungu zikitokea Mama huyu atajifungua muda si mrefu 5 лет назад
    Dalili hizi za uchungu zikitokea Mama huyu atajifungua muda si mrefu
    Опубликовано: 5 лет назад
  • Je Dalili Za Mimba Ya Wiki 36/ Miezi 9 ni Zipi? ( Dalili 12 Mimba Ya Wiki 36)! 2 года назад
    Je Dalili Za Mimba Ya Wiki 36/ Miezi 9 ni Zipi? ( Dalili 12 Mimba Ya Wiki 36)!
    Опубликовано: 2 года назад
  • Hizi ni Dalili za Kujifungua za Mwanzoni kwa Mjamzito! | Je Dalili za mwanzoni za Uchungu ni zipi? 3 года назад
    Hizi ni Dalili za Kujifungua za Mwanzoni kwa Mjamzito! | Je Dalili za mwanzoni za Uchungu ni zipi?
    Опубликовано: 3 года назад
  • Dalili za uchungu kwa MWANAMKE Mjamzito anayekaribia kujifungua 5 лет назад
    Dalili za uchungu kwa MWANAMKE Mjamzito anayekaribia kujifungua
    Опубликовано: 5 лет назад
  • Je Maumivu ya Mbavu kwa Mjamzito husababishwa na Nini?? | Mambo gani hupunguza Maumivu ya Mbavu?? 4 года назад
    Je Maumivu ya Mbavu kwa Mjamzito husababishwa na Nini?? | Mambo gani hupunguza Maumivu ya Mbavu??
    Опубликовано: 4 года назад
  • Jinsi Ya Kulala NA Kuamka Kitandani Kwa Mjamzito? | Jinsi Ya Kuamka Kitandani Kipindi Cha Ujauzito!. 1 год назад
    Jinsi Ya Kulala NA Kuamka Kitandani Kwa Mjamzito? | Jinsi Ya Kuamka Kitandani Kipindi Cha Ujauzito!.
    Опубликовано: 1 год назад
  • Je Mtoto Kucheza Miezi 3 ya mwanzoni mwa Ujauzito ni kawaida? {Mtoto kucheza miezi 3 ya mwanzo}!?. 3 года назад
    Je Mtoto Kucheza Miezi 3 ya mwanzoni mwa Ujauzito ni kawaida? {Mtoto kucheza miezi 3 ya mwanzo}!?.
    Опубликовано: 3 года назад
  • Ukiona Dalili hizi jua unakaribia Jifungua,Jiandae - Dr Baiya Kissiwa 2 месяца назад
    Ukiona Dalili hizi jua unakaribia Jifungua,Jiandae - Dr Baiya Kissiwa
    Опубликовано: 2 месяца назад
  • Je Dalili ZA Mtoto Kugeuka Tumboni Mwa Mjamzito NI Zipi? (Dalili 5 ZA Mtoto Kugeuka Ktk Ujauzito)! 3 года назад
    Je Dalili ZA Mtoto Kugeuka Tumboni Mwa Mjamzito NI Zipi? (Dalili 5 ZA Mtoto Kugeuka Ktk Ujauzito)!
    Опубликовано: 3 года назад
  • Dalili ZA Mimba Changa Ya Mapacha Ya Miezi 2 AU Wiki 8 Kwa Mjamzito| Mimba Ya Mapacha Ya Wiki 8 2 года назад
    Dalili ZA Mimba Changa Ya Mapacha Ya Miezi 2 AU Wiki 8 Kwa Mjamzito| Mimba Ya Mapacha Ya Wiki 8
    Опубликовано: 2 года назад
  • Fangasi za ukeni wakati wa Ujauzito | Dalili na Mambo ya kujua kuhusiana na fangasi katika Ujauzito! 5 лет назад
    Fangasi za ukeni wakati wa Ujauzito | Dalili na Mambo ya kujua kuhusiana na fangasi katika Ujauzito!
    Опубликовано: 5 лет назад
  • Je Kujinyoosha Kwa Mama Mjamzito Kuna Madhara Gani?? (Madhara Ya Kujinyoosha Sana Kwa Mjamzito)!!!! 3 года назад
    Je Kujinyoosha Kwa Mama Mjamzito Kuna Madhara Gani?? (Madhara Ya Kujinyoosha Sana Kwa Mjamzito)!!!!
    Опубликовано: 3 года назад
  • DALILI ZA MTOTO KUFIA TUMBONI  | UTAZITAMBUAJE UFANYA NINI UTAKAPOZITAMBUA 11 месяцев назад
    DALILI ZA MTOTO KUFIA TUMBONI | UTAZITAMBUAJE UFANYA NINI UTAKAPOZITAMBUA
    Опубликовано: 11 месяцев назад
  • Je Muwasho WA Mwili Kwa Mjamzito Hutokana NA Nini? (Muwasho WA Viganja Vya Mikono NA Soli ZA Miguu) 2 года назад
    Je Muwasho WA Mwili Kwa Mjamzito Hutokana NA Nini? (Muwasho WA Viganja Vya Mikono NA Soli ZA Miguu)
    Опубликовано: 2 года назад
  • JE UNAWASHWA MWILI KILA UKITOKA KUOGA????.......PUMU YA NGOZI 1 год назад
    JE UNAWASHWA MWILI KILA UKITOKA KUOGA????.......PUMU YA NGOZI
    Опубликовано: 1 год назад
  • JE CHOO CHEUSI KWA MJAMZITO HUASHIRIA NINI? | JE KWA NINI MJAMZITO HUPATA CHOO CHEUSI KTK UJAUZITO?. 3 года назад
    JE CHOO CHEUSI KWA MJAMZITO HUASHIRIA NINI? | JE KWA NINI MJAMZITO HUPATA CHOO CHEUSI KTK UJAUZITO?.
    Опубликовано: 3 года назад
  • Wiki Ya 40 Hakuna Uchungu Fanya Mambo Haya!! | Mimba Ya Wiki 40 AU Zaidi! 8 месяцев назад
    Wiki Ya 40 Hakuna Uchungu Fanya Mambo Haya!! | Mimba Ya Wiki 40 AU Zaidi!
    Опубликовано: 8 месяцев назад
  • SABABU YA KUTOKWA NA MAJI UKENI  BILA MAUMIVU KWA MAMA MJAMZITO 9 месяцев назад
    SABABU YA KUTOKWA NA MAJI UKENI BILA MAUMIVU KWA MAMA MJAMZITO
    Опубликовано: 9 месяцев назад
  • Samia hali Mbaya;Ubungo & Mbagala walipuka Maandamano Makali Kumshinikiza Suluhu Hassan Kujiuzulu 1 час назад
    Samia hali Mbaya;Ubungo & Mbagala walipuka Maandamano Makali Kumshinikiza Suluhu Hassan Kujiuzulu
    Опубликовано: 1 час назад

Контактный email для правообладателей: [email protected] © 2017 - 2025

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5