У нас вы можете посмотреть бесплатно #live или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
uchambuzi wa kina sanaa kuelekea mchezo wa Darby Ligi Kuu Machi 1,2026 #YangaVSsimba #DerbyyangaVSsimba #yangaVSsimbanewamaan #banyaleotv YANGAvsSIMBA Kuelekea Kariakoo Dabi Machi 1 pale New Amaan Complex presha na hamasa zimeanza kupanda miongoni mwa mashabiki wa soka nchini. Mchezo huu mkubwa unaowakutanisha watani wa jadi, Simba SC na Young Africans S.C., unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa ndani na nje ya uwanja. Kwa mujibu wa wachambuzi wa soka, kila timu ina wachezaji wenye uwezo wa kubadili matokeo wakati wowote. Mashabiki wameanza mijadala mitandaoni wakieleza imani zao na hofu zao kuelekea dabi hiyo ya kusisimua. Je, wewe kama mfuasi wa soka la Tanzania, ni mchezaji gani wa timu pinzani unayemwona kuwa hatari zaidi? Endelea kufuatilia kwa uchambuzi na taarifa zaidi kuelekea pambano hili la heshima ya Kariakoo.