У нас вы можете посмотреть бесплатно AJINYONGA CHOO CHA GESTI, AKIWA NA MTOTO MCHANGA, WANANCHI WAFUNGUKA - ''ALIWEKA NGAZI, AKAPANDA''.. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
AJINYONGA CHOO CHA GESTI, AKIWA NA MTOTO MCHANGA, WANANCHI WAFUNGUKA - ''ALIWEKA NGAZI, AKAPANDA''.. Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Naomi mkazi wa mji mdogo Katoro Wilayani Geita amekutwa amejinyonga kwa kutumia kamba ndani ya choo cha nyumba ya kulala wageni ijulikanayo kwa jina la Mwananzoka inayomilikiwa na mumewe. Tukio hilo limetokea majira ya saa 12 jion, baada ya marehemu huyo aliyekuwa na mtoto mchanga wa miezi 4, kumkabidhi mtoto huyo kwa muhudumu wa Nyumba hiyo ya kulala wageni. Muhudumu huyo amesema baada ya kupita Masaa Manne alianza juhudi Za Kumtafuta marehemu Huyo ndipo alibaini mwanamke huyo akiwa amefariki baada ya kukutwa akiwa amejining’iniza kwa kamba iliyodaiwa kufungwa juu ya dali. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline