У нас вы можете посмотреть бесплатно DIVA ALIA! "Naumwa Sana, Nisaidieni Nizae / Nishakata Tamaa" или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
DIVA ALIA! "Naumwa Sana, Nisaidieni Nizae / Nishakata Tamaa" MTANGAZAJI maarufu, Diva The Bawse ameweka wazi kuwa anahitaji mchango wa kiasi cha dola $7,000 (sawa na Tsh. milioni 15) kwa ajili ya matibabu ya kutungishwa mimba kwa mfumo wa kisasa wa IVF (In Vitro Fertilisation) nchini Marekani, hii ni baada ya kuambiwa na madaktari kuwa hataweza kutunga mimba kwa njia ya kawaida. Diva akieleza kwa hisia kali amesema kuwa mwezi uliopita alienda Hospitali ya TMJ kufanya vipimo na aliambiwa kuwa mirija yake ya uzazi ina hitilafu (blockage) hivyo hawezi kutunga mimba kwa njia ya kawaida mpaka kwa mfumo wa kisasa wa kupandikiza mbegu wa IVF Treatment. Diva amewaomba Watanzania wamchangie kiasi cha pesa kupitia akaunti yake ya Benki na akaunti ya GoFundMe ili aweze kufanikisha tiba hiyo. Install GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Suazi1 / uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .