У нас вы можете посмотреть бесплатно 685- Hukumu Ya Kula Daku Baada Ya Adhaana Ya Pili Ya Fajr - ´Allaamah al-Waswaabiy или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Hukumu Ya Kula Daku Baada Ya Adhaana Ya Pili Ya Fajr Swali: Kuna mtu kaamka kula daku katika Ramadhaan, akala na kunywa akidhani kuwa adhaana ya pili haijafika wakati wake, na ghafla wanakimu Swalah. Ipi hukumu ya Swalah yake? ´Allaamah al-Waswaabiy: Jibu ni kuwa anachukuliwa kala siku hii. Afanye Istighfaar kwa Allaah (´Azza wa Jalla) na ajizuie siku nzima iliobaki na juu yake ana deni [kulipa siku hii]. Ilikuwa juu yake kuharakisha wakati [wa daku]. Chanzo: http://www.olamayemen.net/Default_ar....