У нас вы можете посмотреть бесплатно Uchaguzi CCM, Wanachama Wazichapa, Mgombea Apiga Teke Sanduku la Kura или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Uchaguzi mdogo wa CCM, Tawi la Mwinjuma, Mwananyamala jijini hapa umevurugika baada kuibuka kwa vurugu kubwa, wanachama wakizichapa na mgombea mmoja akibutua boksi la kura kwa hasira. Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1 Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, chanzo cha kuvurugika kwa uchaguzi huo, ni kitendo cha mgombea mmoja kutaka kupiga kura zaidi ya moja kwa wakati mmoja ambapo wanachana wengine walimjia juu, wakamkamata na kumpokonya kura, kwa hasira akabutua sanduku la kura na ugomvi mkubwa ukazuka. Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1 Chaguzi ndogo ndani ya chama cha mapinduzi zinaendelea nchi nzima ambapo lawama za kuchezeana rafu zimeanza kugubika chaguzi hizo. Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublishers TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpublishers