У нас вы можете посмотреть бесплатно MAHAKAMA YAMFUTIA KESI GEKUL BAADA ya DPP KUONA HAKUNA KESI - MAWAKILI wa UTETEZI WATAKA KULIA... или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MAHAKAMA YAMFUTIA KESI GEKUL BAADA YA DPP KUONA HAKUNA KESI MAWAKILI WA UTETEZI WATAKA Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashitaka nchini imeondoa Kesi ya namba 179 ya mwaka 2023 ya shumbulio la mwili iliyokuwa ikimkabili aliyekuwa naibu waziri wa katiba na sheria ambaye ni Mbunge wa Babati Mjini Pauline Gekul ambapo upande wa mmbunge huyo ilikuwa ikiwakilishwa na wakili Ephraim Kisanga huku upande wa mlalamikaji Hashimu Ally ikiwakilishwa na mawakili watatu ambao ni Thadei Lista,Peter Madeleka na Joseph Masanja. Kesi hii kwa mara ya kwanza imesikilizwa hii Leo katika mahakama ya wilaya ya Babati Mkoani Manyara na Hakimu wa mahakama hiyo Victor Kimario ambapo amesema kesi hiyo imeondolewa kwa mujibu wa sheria namba 91 kifungu kidogo cha( 1) cha sheria ya mwenendo wa mashauri ya jinai sura namba 20 Kama ilivyorekebishwa mwaka 2022, ambayo inampa mkurugenzi wa mashitka mamlaka ya kuondoa kesi yeyote ya jinai mahakamani kabla haijafikia hukumu. ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx