У нас вы можете посмотреть бесплатно WIKI YA MTAKATIFU DON BOSCO MKUU WA KITENGO CHA MASOKO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Katika kuelekea Don Bosco Day, kwaya ya Mt. Don Bosco Kimanga - (KMD-Kimanga) waliandaa Wiki ya Don Bosco ikiwa ni sehemu yao ya kurudisha kwa jamii maarufu kama Tone La Upendo. 29/01/2023 kwa kushirikiana na Hosptali ya Taifa Muhimbili kitengo cha Damu Salaam waliendesha zoezi la kuchangia damu na kufanya uchunguzi wa afya ya Macho, Meno na Kinywa kwa kushirikiana na The International Eye Center na Esnan Dental Turkish Clinic. Karibu utazame maelezo kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mahusiano ya Jamii kutoka The International Eye Center Ili kundelea kupata taarifa zote za maisha ya watakatifu na nyingi nyinginezo, fatadhali usisahau Kusubscribe, like comment na kushare. • WIKI YA MTAKATIFU DON BOSCO MKUU WA KITENG... Pia weka notification ili kujulisha habari zote zitakazo pandishwa kwenye CHANNEL yetu. Karibuni