У нас вы можете посмотреть бесплатно MBUNGE GEKUL AANIKA MAZITO TUHUMA ZA KUMSHAMBULIA KIJANA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#HABARI: Aliyekuwa Naibu Waziri wa Katiba na Sheria ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Babati Mjini, Paulina Gekul, kwa mara ya kwanza amezungumzia sakata la kudaiwa kuhusika kumuingizia chupa sehemu za siri kijana anayefahamika kwa jina la Hashimu Ally, ambaye alikuwa mfanyakazi wake baada ya kudaiwa kuwa alikuwa akitumwa kufanya vitendo vya kishirikina kwenye biashara yake ambapo Gekul amekana kuhusika na tukio hilo na kueleza kuwa tukio hilo lilitengenezwa kumdhoofisha kisiasa na kibiashara. Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ; Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3 Twitter : https://bit.ly/2XG7aii Instagram : https://bit.ly/34KItmg