У нас вы можете посмотреть бесплатно Sabuni ya Kusafisha Sinki Lenye Uchafu sugu (kwa kutumia Stain Remover) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Stain remover ni Sabuni ya Maji iliyotengenezwa kwa ajili ya kusafishia Tiles na Masinki yaliyogina na yenye uchafu sugu. JINSI YAKUTUMIA MAJITA STAIN REMOVER. Sinki lenye uchafu sugu tumia Sabuni bila kuchanganya na maji na kwa kutumia gloves pamoja na Toilet brush. Tumia kwa vipomo anza na Vifuniko Viwili vya Sabuni yako, ukisambaza kwenye Sinki lako au marumaru zako, Kisha Kusafisha hapo hapo. Angalizo:tunashauri wakati unaanza kusafisha hakikisha Sinki lako liwe kavu lisiwe na maji ikiwezekana lifunge kabla ya kulisafisha. MOROGORO KIHONDA KILIMANJARO 255 677 072 813 255 785 807 987 +255 759 449 277 Instagram:https://instagram.com/majitaglobal?ig... Facebook page: / majita-global-cleaning-beauty-solution-170... Twitter:"Home / Twitter" https://mobile.twitter.com/home E-mail :majitaglobal@gmail.com