У нас вы можете посмотреть бесплатно WALIOKUWA WAKITEMBEA UMBALI MREFU KUFUATA HUDUMA ZA AFYA, WAPEWA KITUO CHA AFYA. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, RC Mboni Mhita, ametembelea Kituo cha Afya Ihapa kwa lengo la kukagua maendeleo ya ujenzi pamoja na vifaa vya kisasa vilivyonunuliwa kwa ajili ya kuboresha huduma za afya kwa wananchi. Katika ziara hiyo, RC Mhita aliwahimiza wananchi na wakazi wa Ihapa ambao awali walilazimika kutembea umbali mrefu kufuata huduma za afya, sasa kutumia kituo hicho kupima afya zao mara kwa mara, ili magonjwa yanayoweza kujitokeza yagundulike na kutibiwa mapema. Afya bora ni msingi wa maendeleo ya jamii. 🏥✨