У нас вы можете посмотреть бесплатно ZAIDI YA MATESO! - "NIMEVIMBA TUMBO KIMAAJABU, SIWEZI KULA CHOCHOTE, USIKU SILALI" или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
ZAIDI YA MATESO! - "NIMEVIMBA TUMBO KIMAAJABU, SIWEZI KULA CHOCHOTE, USIKU SILALI" Inakukutanisha na Amina Mohamed (32) ambaye amevimba tumbo baada ya kujifungua Mtoto wake Wa mwisho huku chanzo cha kuvimba kwa tumbo hilo mpaka sasa hakijajulikana Cha kusikitisha zaidi Amina anasema tumbo hilo linazidi kuongezeka kila muda na Mara mwisho alitolewa maji Lita 10 katika tumbo hilo, kwa sasa hana uwezo Wa kula chochote,kutembea wala kumuhudumia Mtoto wake ambaye tangu ajifungue hajawahi kunyonya maziwa ya mama Amina anawatoto wanne kwa sasa. UNAWEZA KUMSAIDIA KUPITIA NAMBA 0712 818160- Amina Mwiru Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 iOS:https://apple.co/38HjiCx UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE (+255 784 888982) (+255 676 229628) Email: [email protected] [email protected] HABARI MPYA DAILY: http://bit.ly/habarimpya HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania http://bit.ly/exclusive_interviews