У нас вы можете посмотреть бесплатно Nyegezi sda choir - TULIZA MIOYO (official Video ) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Nyegezi sda choirs STANZA 1. Umetupa talanta kila mmoja ili tuifanye kazi yako japo kwa njia tofauti kusudi tufanye kazi yako tumehudumu japo katika changamoto nyingii Shetani hapendi tuhubiri neno lako anapitia njia tofauti ili tusifanye kazi yako. STANZA 2. Kuna wakati mwingine tunatenda mambo mema watutazamao wakiyaona huanza kutusifia Baba usiruhusu tuwe na kiburi mioyoni mwetu. Twaomba twaomba tuliza mioyo yetu, twaomba ingia ndani ya mioyo yetu. STANZA 3. Twawaombea washiriki wenzetu wanaofanya kazio ya Bwana japo kwa njia tofauti endelea kutubariki sote utushindiye sote tunapopatwa na majaribu tukumbuke katika ufalme wako utakaporudi tuwezeshe tupiganie utushindie hila za mwovu. Baba usiruhusu tuwe na kiburi mioyoni mwetu, twaomba, twaomba ahh tuliza mioyo yetu, twaomba, ingia ndani ya mioyo yetu. Utushindie sote tunapopatwa na majaribu, tukumbuke katika ufalme utakapoorudi tuwezeshe tupiganie utushindie hila za mwovu.