У нас вы можете посмотреть бесплатно DIAMOND AWEKA HISTORIA UINGEREZA AIJAZA 'THE ROYAL ALBERT HALL', APEWA ZAWADI HII или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
NI Msanii kutokea Bongo Flevani, Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz ambae Usiku wa June 13, 2025 ametumbuiza katika Ukumbi 'The Royal Albert hall' unaochukua watu zaidi ya Elfu 5000 huko nchini Uingereza. Hii ni kwa mara ya kwanza msaniii huyo kutokea kwenye Ardhi ya Tanzania kuiandika nchini humo huku ikiwa ni show yake ya kwanza na zinginezo zikiendelea katika Majimbo tofauti tofauti nchini Humo. Katika Show yake hii Diamond alisindikizwa na wasaniii mbalimbali akiwemo Patoranking, Tiva Savage na wengineo.