У нас вы можете посмотреть бесплатно MFUNGWA GEREZA LA KIKE AWAPA MIMBA WENZAKE, ALIJIBADILI na KUWA KAMA MWANAMKE KABISA!... или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MFUNGWA GEREZA LA KIKE AWAPA MIMBA WENZAKE, ALIJIBADILI na KUWA KAMA MWANAMKE KABISA! Mfungwa Demi Minor (27), ambaye miezi michache iliyopita alizusha gumzo kubwa baada ya kuwapa ujauzito wafungwa wenzake katika Gereza la Wanawake la Edna Mahan Correctional Facility lililopo New Jersey nchini Marekani, amehamishwa kutoka gerezani hapo. Demi amepelekwa kwenye Gereza la Garden State Youth Correctional Facility ambalo linatajwa kuwa na ulinzi zaidi, akiwa ndiye mfungwa pekee aliyebadilisha jinsia kutoka kuwa mwanaume hadi kuwa mwanamke kushikiliwa katika gereza hilo. Demi ambaye alikuwa mwanaume kabla ya baadaye kubadili jinsia na kuwa mwanamke (transgender), amewekwa katika chumba cha peke yake gerezani hapo kwa kile kinachoelezwa kuwa ni kumlinda dhidi ya wafungwa wa kiume lakini pia kuzuia asije kusababisha madhara zaidi kwenye magereza ya wanawake kwa kuwapa ujauzito wafungwa wenzake. Taarifa za kitabibu zilizotolewa baada ya kuwapa ujauzito wafungwa wenzake, zilieleza kwamba japokuwa alikuwa amebadili jinsia na kuwa mwanamke, bado viungo vyake vya uzazi vilikuwa ni vya kiume na vinavyofanya kazi ndiyo maana akawapa ujauzito. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline