У нас вы можете посмотреть бесплатно UHAMIAJI WACHUKUA HATUA ASKARI WALIOONEKANA WAKIMUADHIBU MTUHUMIWA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Idara ya uhamiaji imewasimaisha kazi askari wake watatu kwa tuhuma za kutumia nguvu kinyume cha sheria na maadili ya kazi zao dhidi ya mtuhumiwa wa utapeli Alex Raphael Kyai kama ilivyoonekana katika video fupi iliyosambaa katika mitandao ya kijamii. Mtuhumiwa huyo anadaiwa kulaghai na kupokea fedha kutoka kwa wateja mbalimbali ili waweze kupata pasipoti kwa haraka pia amekuwa akijitambulisha kama mtumishi wa Taasisi nyeti ikiwemo Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU). "Hatua ambazo Idara imechukua dhidi ya askari, tumewasimamisha kazi kupisha uchunguzi wa tukio lenyewe lakini pia mtuhumiwa tumemfikisha kwenye mamlaka husika ili aweze kuendelea na utaratibu mwingine kisheria"-Dkt. Anna Peter Makakala, Kamishina Jenerali wa Uhamiaji.