У нас вы можете посмотреть бесплатно AZAM KUSHUSHA VIVUKO NANE KIGAMBONI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
DAR ES SALAAM: KAMPUNI ya Azam Marine inatarajia kuzindua vivuko nane vya expres ambavyo ujenzi wake mpaka sasa umefikia asilimia 95 na vinatarajia kusafirisha abiria wanaovuka kwenda Kigamboni kwa haraka zaidi. Mkurugenzi mtendaji wa kampuni hiyo, Aboubakar Aziz Salim amesema hayo wakati wa ukaguzi wa mwisho alipotembelea eneo la kukaa abiria na ujenzi wa boti hizo. "Kila chombo kimoja kina uwezo wa kusafirisha mpaka abiria 1500 ndani ya saa moja," amesema Mkurugenzi huyo. Video @azamtvtz Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: / spotileo-176. . HabariLeo: / habarileo DailyNews: / dailynewstz INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09