У нас вы можете посмотреть бесплатно WAZIRI WA UTALII DKT.ASHATU KIJAJI ALIVYOUPOKEA MWAKA MPYA NA WATALII HIFADHI YA MIKUMI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Waziri wa Maliasili na Utalii Dokta Ashatu Kijaji ameogoza mamia ya watalii wa ndani kukesha na kupokea mwaka mpya 2026 ndani ya hifadhi ya Taifa Mikumi. Akizungumza na waandishi wa habari Mhifadhi Mkuu Hifadhi ya Taifa Mikumi Agustine Masesa amesema ujio wa Waziri wa Maliasili na Utalii Dokta Kijaji ni kuongeza hamasa ya utalii wa ndani . Masesa amesema ni utaratibu wa Hifadhi hiyo kujumuika na wananchi mbalimbali lengo kuwa karibu na jamii ikiwa ili Waone umuhimu wa maliasili. Nao baadhi ya watalii wa ndani wameshukuru kujumuika katika hifadhi hiyo kusheherekea sikukuu ya Mwaka Mpya.