У нас вы можете посмотреть бесплатно BUKU 5 YAMTOA KIMAISHA KWA BIASHARA YA JUICE или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
NATALIE ni kati ya vijana wachache wenye nia ya uthubutu. Uthubutu wake ulianza miaka minne iliyopita, alipokuwa anasoma chuo IFM. Yeye na dada yake wakaanza kuuza juisi ya Matunda kwa kutembeza mitaani Sinza, wengi wakawa wanamshangaa, wengine wakawa wanamwambia, "wewe ulivyomzuri hivi unafanya biashara ya kutembeza juisi barabarani?" ila kwake ndo ilikuwa chachu ya kuendelea kupigana. . . Kwa uthubutu huo umemuwezesha kufungua sehemu yake mwenyewe inaitwa ZANANA JUICE BOX zaidi hajawa mbinafsi anapiga mishe hii na vijana wenzie, hii yote kuhakikisha kwa #NguvuMoja vijana wengine wanapata fursa kujifunza na kujitengenezea mkwanja ili maisha yaendelee.