У нас вы можете посмотреть бесплатно Safari yangu ya youtube ndani ya mwaka mmoja/kiasi gani nimelipwa/hatua za kufuata mpaka unalipwa. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Ni rahisi kuanza youtube channel lakini kuiendeleza ndio kazi kubwa unabidi uwe consistency yaani unapost mara kwa mara video. Thumbnail au picha ya mbele ya video pia iwe na ushawishi pia iendane na video. Pia title au kichwa cha habari unachoandika kiwe cha kueleweka. Video ziwe zimerecordiwa vizuri kamera imetuliwa na zimeeditiwa vizuri kuna app nyingi za kuedit video. Uchague mada au niche nzuri za kupendwa kama vile mapishi,urembo, siasa,ujasiriamali nk Hatua za kulipwa 1.uwe na subscribers 1000 kutegemea na nchi kuna nchi nyingine wanaishia subscribers 500 2.uwe na masaa 4000 ya kuangaliwa pia inategemea na nchi kuna nchi wanaishia masaa 3000. 3.uombe kuanza kulipwa/Apply for youtube monetization kisha matangazo yatawekwa kwenye video zako. 4.Fungua Google adsense account inafunguliwa Google huko unaandika na sanduku la posta kama hauna omba la mtu mwingine. 5.kisha unasubiri namba za siri adsense pin wiki 3 mpaka 4 zinatumwa kwenye sanduku la posta. 6 ukishazipata unaziingiza hukohuko kwenye adsense account kuna mwongozo ni rahisi. 7.kisha utajaza taarifa za bank yako na taarifa za kodi 8.kisha utaanza kulipwa kwa dola utaziona kwenye Google adsense account au youtube studio. 9.utasubiri zifike dola 100 ndo uanze kuzitoa 10.Mambo haya yote yanaweza kuchuka miezi michache, mwaka au zaidi ya mwaka inagemea na mtu na nchi. ANZA YOUTUBE 2025 • Bustani yangu ya mazao ya chakula/kupalili... • Maendeleo ya bustani yangu/kupika maharage... #finally monetised #jinsi ya kufungua youtube #safari ya youtube #youtube journey #Google adsense pin #problems with the adsense pin #food content creator #Tanzanian youtuber#how to get 1000 subscribers #4000watchtime #happy new year #heri ya mwaka mpya.