У нас вы можете посмотреть бесплатно FAIDA HIZI ZA SELCOM ZITAKUSHANGAZA! или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Selcom ni kampuni inayoongoza katika huduma za kifedha na malipo Tanzania. Utajifunza kuhusu huduma mbalimbali zinazotolewa na Selcom na jinsi zinavyoweza kukusaidia katika biashara yako na maisha ya kila siku. Je, kupitia Mashine yetu mpya (QWIKCHAP POS) unajua kuwa unaweza kufanya Mengi. Pokea malipo kwa kadi zote. Pokea malipo kutoka mitandao na benki zote. Lipa mitandaaoni kwa Mastercard ya kidijitali (VCN) Angalia salio, Badili PIN, Update mashine kwa urahisi. Lipa bili zote na Malipo ya serikali kwa urahisi. Tuma pesa mitandao na benki zote. Pata kamisheni kwa kufanya huduma za uwakala. Tuma makusanyo utakavyo. Hamisha papo hapo! Tuma michango PSPF, PPF, na UTT AMIS. Lipia mizigo na lipa wafanyakazi kwa urahisi. Hakikisha unabonyeza 'Subscribe' ili upate video zetu nyingine zinazokuja!