У нас вы можете посмотреть бесплатно AIC Chang'ombe Choir (CVC) - ELOHIM (Official Live Video) или скачать в максимальном доступном качестве, которое было загружено на ютуб. Для скачивания выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru
#ELOHIM, wimbo wa kwanza katika IBADA YA MOYO WA SHUKRANI iliyofanyika 10 NOV, 2023 katika kanisa la AICT Chang'ombe, Sokota Temeke Dar es salaam. Ndani ya wimbo huu AIC Chang'ombe Choir tunamshukuru Mungu kwa baraka zake alizotukirimia kwa zaidi ya miaka 35 tangu kuanzishwa kwa kwaya yetu. Tunaamini wimbo huu utaenda kuwa muongozo wako katika kumshukuru Mungu kwa yale mambo makuu aliyokutendea katika safari ya maisha yako. LYRICS Asante ELOHIM Wewe Ni MUNGU Unaetenda Asante ELOHIM Wewe Ni MUNGU Ni Mungu ( Unaetenda) Tumetembea na wewe Toka mwanzo uko pamoja nasi Hapa Tulipo Ni kwanguvu Zako (Asante ELOHIM) Ulitangulia Mbele Bila wewe Tusingeweza Hapa Tulipo Ni kwanguvu Zako ( Asante ELOHIM) Mabaya Yaliinuka Lakini hayakutupata Ulitutetea, Ulitushindia ( Asante ELOHIM) Ndio Maana Tunakusifu Umetenda Makuu Kwetu Umetutetea,Umetushindia (Asante ELOHIM) Tunashukuru Ee Baba (Asante ELOHIM ) Mkono Wako Umetubeba(Asante ELOHIM) Special Thanks AICT CHANG'OMBE CHURCH Mch. Dr Joseph Mayala Mitinje CREDITS. Audio production - CVC Music Department Video production - CVC Media Audio Mixing & Mastering Engineer - Tamie Bimha Sound System, Backline, Lights, Stage - Haddypro Campany Limited Project Manager - Dr.Elidady Msangi Ejazz01 Music Pro