У нас вы можете посмотреть бесплатно UNATAKA KUISHI MAISHA YENYE MAANA? HIVI NDIVYO UTALIISHI KUSUDI LAKO LA KWELI ~ Dr. Joel Nanauka или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
"Hatima yako ni kubwa kuliko vile unavyoweza kufikiria!" Anasema Dr. Joel "Lakini kabla ulimwengu haujakutafuta ni lazima wewe ujipate kwanza. Hakuna mtu atakuita jina lako kama wewe mwenyewe hulifahamu jina lako." Katika video hii, Dr. Joel Nanauka anakuelekeza jinsi ya kutambua na kuishi kusudi lako la kweli, ili uweze kuishi maisha yenye thamani na athari kubwa kwa dunia. 📌 Mambo Muhimu Utakayojifunza: ✅ Mtazamo wa Mungu juu ya hatima yako ✅ Maeneo na hatua za kugundua na kuthibitisha kusudi lako ✅ Kuanza safari yako ya kuishi kusudi kikamilifu ✅ Kushinda changamoto zinazokuzuia kulitimiza ✅ Jinsi kusudi lako linavyohusiana na mafanikio yako 💡 Usiache Kutazama Mpaka Mwisho! ✔️ LIKE video hii kama umejifunza kitu kipya 📢 SHARE na rafiki yako anayehitaji mafunzo haya 🔔 BONYEZA KENGELE ili usipitwe na video mpya 📺 Gusa 'SUBSCRIBE' kwenye H.W Media hapa YouTube ili usipitwe na maudhui bora zaidi. 🎧 Sikiliza H.W PODCAST kwenye Spotify, Boomplay, Apple Podcast, au jukwaa lolote la sauti unalopenda. -- Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii @hubofwisdom.inc au tembelea tovuti yetu www.hubofwisdom.com/media -- Session Credits: JRC Church ........................................................................................................................... #Hamasa #Kusudi #Imani #Mafanikio #Thewisetz #H.WMedia #JoelNanauka #UimaraWaKifikra #Biashara #MaishaBinafsi #Nanauka #wisdom #thewisetz #MaishaYenyeMaana #KusudiLaMaisha #Mafanikio #Kujitambua #Motivation #Tanzania #Kenya #Uganda #Zanzibar #Congo