У нас вы можете посмотреть бесплатно PUTIN AZUNGUMZA na TRUMP kwa SIMU - WAJADILI VITA vya IRAN na ATHARI ZAKE kwa UCHUMI wa DUNIA 📍URUSI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
PUTIN AZUNGUMZA na TRUMP kwa SIMU - WAJADILI VITA vya IRAN na ATHARI ZAKE kwa UCHUMI wa DUNIA 📍URUSI Rais wa Urusi Vladimir Putin na Rais wa Marekani Donald Trump walifanya mazungumzo muhimu kwa njia ya simu tarehe 9 Machi, wakijadili uwezekano wa kumaliza kwa haraka vita vinavyoendelea dhidi ya Iran kupitia suluhisho la kisiasa na kidiplomasia. Mazungumzo hayo pia yaligusa masuala mengine ya kimataifa ikiwemo vita vinavyoendelea nchini Ukraine, hali ya kisiasa nchini Venezuela pamoja na athari za migogoro hiyo katika soko la mafuta duniani. ================================================================= ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx