У нас вы можете посмотреть бесплатно Lowassa Afunguka Alivyohojiwa na DCI, Aachiwa kwa Dhamana или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa amefunguka kuhusu alivyohojiwa kwa saa nne katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) ambapo baada ya kuhojiwa ameachiwa kwa dhamana na kuondoka makao makuu ya polisi majira ya saa 8. Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuachiwa, Lowassa alisema aliitwa na polisi kutokana na hotuba yake aliyoitoa siku chache zilizopita, nyumbani kwa mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara kuhusu suala la mashehe wa uamsho wanaoshikiliwa kwa zaidi ya miaka minne sasa. Lowassa alisema anawaomba wafuasi wake wote watulie na kuongeza kwamba ameambiwa arejee tena kwa mahojiano Alhamisi ya wiki hii. Naye Katibu Mkuu wa Chadema, Vincent Mashinji, alisema kuwashikilia wafuasi wa uamsho kwa kipindi chote hicho, bila kupandishwa mahakamani ni makosa na ni kinyume na haki za binadamu. Akawaomba wafuasi wa Chadema na wapenda maendeleo, watulie katika kipindi hiki. Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublishers TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpublishers