У нас вы можете посмотреть бесплатно MAAJABU ya HIFADHI ya SAADAN: MCHANGA KATIKATI ya KINA KIREFU, NI KISIWA cha KIPEKEE... или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MAAJABU ya HIFADHI ya SAADAN: MCHANGA KATIKATI ya KINA KIREFU, NI KISIWA cha KIPEKEE... Hifadhi ya Taifa ya saadani ndio mbuga pekee ambayo mazingira yake yameungana na bahari ambayo ikolojia ya mbuga na ile ya bahari huku ikiwa imesheheni wanyama wa aina mbalimbali. Kivutio kingine kinachoipatia umaarufu mkubwa hifadhi hiyo ni fungu la mchanga aina ya tabaka la ardhi linalopatikana katikati ya maji eneo ambalo ni kina kirefu, sehemu ambayo mazingira yake huvutia wageni kutembelea. Kwa wageni au watalii hawawezi kulifikia eneo hilo la mafui ambalo linafahamika kwa jina maarufu 'mwari"ambapo watalazimika kutumia usafiri wa boti ili kujionea mambo mazuri na yakupendeza. Kamishina msaidizi wa uhifadhi wa hifadhi ya Taifa ya saadani Ephraim Mwangomo amesema kwa nini mafui imebeba jina maarufu ya mwari kwa sababu kuna wakati imekuwa vigumu sana kuliona tabaka hilo la ardhi lililopo kwenye kina kirefu cha maji hadi pale utakapofanikiwa kufuata ratiba maalum ambayo huzingatiwa na watembeza wageni. Mwangomo ameongeza kwa kusema mwari anapoonekana wageni hujawa na furaha ambapo wanaweza kulitumia eneo hilo kwa kuvishana Pete za uchumba, harusi na hata kupumzika Katika kumuongezea mwari thamani kamishina Mwangomo amesema upo mpango wa kujenga Dock Yard ili vyombo vya usafiri kama boti kuegesha na kuwawezesha wageni kupanda kupanda na kusafiri kuweza kwenda kuona mwari ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline