У нас вы можете посмотреть бесплатно DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 19.01.2026 | Mchana | Swahili Habari leo | Podcast или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Katika Matangazo ya Mchana utasikia ++Onyo lililotolewa na Mataifa ya Ulaya kuhusu vitisho vya ushuru vya Rais Donald Trump juu ya Greenland kwamba vinahatarisha hali ya kiuchumi. ++Huduma za intaneti nchini Uganda bado zingali chini hata baada ya uchaguzi kukamilika. ++Gumzo kubwa pia ni ushindi wa Senegal wa Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON baada ya kuwachapa wenyeji Morocco bao 1-0 katika mechi iliyokuwa na msisimko, vituko na mivutano. #dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast /Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.