У нас вы можете посмотреть бесплатно JOHN HECHE AMJIBU RAIS SAMIA " HUWEZI KUFANYA UHALIFU NA KUJICHUNGUZA MWENYEWE " или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Makamu mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema ( CHADEMA ) John Heche amefunguka baada ya hotuba ya rais Samia Bungeni kuhusu vurugu za October 29, 2025. Rais Dr Samia suluhu Hassan aliagiza ofisi ya DPP kuwaachia wote waliokamatwa na kushatakiwa kwa makosa ya uhaini akidai wengi wao walifata mkumbo. Rais Samia pia akasema tume imeundwa kuchunguza Vurugu zilizotokea october 29, 2025 ambapo watanzania wengi waliuwawa kutokana na vurugu na maandamano makubwa. John Heche amesema huwezi kufanya uhalifu alafu ukajichunguza wewe mwenyewe. Heche amesema uchunguzi wa kimataifa kutoka chombo huru ndio unaoweza kuaminika na watanzania. Heche amesema tunataka kujua nani wahusika wakuu, kuua, kuteka na kuacha watanzania na ulemavu wa kudumu na kuhimiza kuwa hili si jambo ambalo la kujaribu kufunikwa kwa uongo na haitawezekana. #chadema #johnheche #raissamia #raissamiasuluhuhassan #bungeni #maandamano #uchaguzimkuu2025