У нас вы можете посмотреть бесплатно Ni Lini Utumie Mixed Methods Research? | Mbinu za Utafiti или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Katika video hii tunaelezea ni lini unapaswa kutumia mixed methods research, mbinu ya utafiti inayochanganya utafiti wa qualitative na utafiti wa quantitative katika utafiti mmoja. Mixed methods research huwasaidia watafiti kupata uelewa mpana zaidi wa swali la utafiti kwa kuchanganya data za takwimu (numerical data) na taarifa za kina za qualitative. Katika video hii utajifunza: Maana ya mixed methods research Kwa nini watafiti huunganisha mbinu za qualitative na quantitative Ni lini inafaa kutumia mixed methods katika utafiti Aina za kawaida za miundo ya utafiti wa mixed methods Jinsi mixed methods zinavyosaidia watafiti kuelewa vizuri masuala magumu ya afya na kijamii Mifano ya matumizi ya mixed methods katika utafiti wa afya, epidemiolojia, na sayansi za jamii Video hii imeandaliwa kwa ajili ya wanafunzi wa udaktari na udaktari wa meno, watafiti, na wanafunzi wa shahada ya uzamili wanaojifunza mbinu za utafiti, epidemiolojia, biostatistics, na utafiti unaotegemea ushahidi (evidence-based research). 📌 Usisahau kujiunga (subscribe) na channel kwa video zaidi za elimu kuhusu: mbinu za utafiti, epidemiolojia, biostatistics, na muundo wa tafiti. 🔗 Twitter / zuhairnatt 🔗 Instagram / zuhairnatto