У нас вы можете посмотреть бесплатно Lita zaidi ya 1,600 ya changaa yaharibiwa Jerime Saku jimboni Marsabit. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Chifu wa lokesheni ya Jerime eneo bunge la Saku Enock Kallo na maafisa wa usalama wameanzisha msako mkali dhidi ya pombe haramu katika eneo hilo. Katika oparesheni kali iliyoongozwa na chifu huyo zaidi ya lita alfu 1,600 ya pombe hiyo haramu imeharibiwa. Chifu Kallo amewataadharisha wagemaji na watumiaji wa pombe hiyo haramu akihoji kuwa serikali haitolegeza kamba katika vita hivyo hadi pale matumizi au uuzaji wa pombe haramu utakapokomeshwa. Chifu Kallo amesema matumizi ya pombe haramu haswa changaa yamechochea pakubwa umaskini na uhalifu miongoni mwa jamii. Amesema kuwa idadi kubwa ya wakaazi wanajihusisha katika uraibu wa pombe haram una kutoa wito kwa serikali ya kitaifa, ile ya kaunti ya Marsabit sawa na mashirika ya kijamii kuwasaidia akina mama hawa kuanzisha biashara mbadala.