У нас вы можете посмотреть бесплатно PUMZIKA KWA AMANI HAYATI MAURUS LIBABA, ASKOFU WA KWANZA WA JIMBO KATOLIKI LINDI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Tarehe 03 Machi ya kila mwaka ni kumbukizi ya kifo cha aliyekuwa Askofu wa kwanza wa Jimbo katoliki Lindi, Hayati Maurus Maurus Libaba, ambaye aliitwa na Mungu Machi 03, 1988 ambapo mwaka huu 2026 ni miaka 38 imetimia. kufahamu mengi zaidi karibu utazame na kufuatilia makala hii fupi ambayo imeelezea kwa uchache historia ya Hayati Askofu Libaba, ikiwemo kuzaliwa, utume mpaka kifo chacke. Raha ya Milele Umpe ee Bwana na Mwangwa wa Milele umuangazie, Mhashamu Maurus Libaba Apumzike kwa amani Amina. Radio Maria Tanzania S.L.P 34573, Mikocheni Industrial Area plot no. 125, Barua pepe: info.tan@radiomaria.org Wavuti: www.radiomaria.co.tz Mitandao Mingine ya Kijamii: Facebook: Radio Maria Tanzania Facebook Link: / radiomaria.tanzania Instagram: Radio Maria Tanzania Instagram Link: / radiomariatanzania Radio Maria Tanzania, Sauti ya Kikristu Nyumbani Mwako.