У нас вы можете посмотреть бесплатно Kijana Anayeuza Nyama Ya Mama Yake Kwa Sababu Ya Utajiri | Hadithi ya Kusisimua или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Hadithi hii inasimulia maisha ya Baraka, kijana mwenye tamaa ya mali na utajiri wa haraka. Ili kufanikisha ndoto yake, alijikuta akifanya maamuzi ya kutisha — kuuza nyama isiyo ya kawaida kutoka Baraka Foods. Lakini nyuma ya utajiri wake kulikuwa na siri ya damu ya mama yake na kilio cha haki. 👉 Je, pesa na mali vina thamani gani ukipoteza utu na upendo wa familia? 👉 Ni maombi ya Mama Imani pekee yanaweza kufichua siri hii? 🎬 Karibu Hadithi za Sultan – simulizi za Kiswahili zenye mafunzo, msisimko na siri zinazogusa maisha ya kila mmoja wetu. #HadithiZaKiswahili #SimuliziZaKiswahili #KafaraNaUtajiri #HadithiZaSultan #SimuliziZaMaisha