У нас вы можете посмотреть бесплатно 'MASASI KUCHELE'! NHC YAING'ARISHA MASASI KWA KITUO CHA KISASA CHA BIASHARA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mei 18,2025 ni siku ambayo NHC imeandika historia mpya kwa mji wa Masasi, wilayani Masasi mkoani Mtwara. NHC imeandika historia hiyo kwa kuzinduliwa ujenzi wa jengo jipya, ambalo ni Kituo cha Biashara, Masasi Commercial Complex lililowekwa jiwe la msingi na kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka 2025, Ismail Ali Ussi. Jengo hilo litakapokamilika litabeba na kuibadili sura ya Masasi na kuifanya mpya, ikizingatiwa kuwa lipo katika barabara kuu. Ujenzi wa jengo hilo ni sehemu ya msukumo ilionao Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), kuchochea mapinduzi ya sekta ya nyumba na makazi bora ya kisasa, lakini pia kuchagiza kasi ya ukuaji uchumi wa taifa kwani shirika hilo linatekeleza dira yake iliyojiwekea. Katika mahojiano, Muungano Saguya, Meneja Uhusiano na Habari wa NHC, akiwa Masasi kwenye ghafla ya uwekaji Jiwe la Msingi la ujenzi wa Masasi Commercia Complex anazungumzia mradi huo na mingine inayotekelezwa na shirika hilo.