У нас вы можете посмотреть бесплатно #LIVE или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#LIVE || MISA TAKATIFU YA MWAKA MPYA KUTOKA PAROKIA YA YOMBO KIWALANI -JIMBO DAR ES SALAAM. ▪︎ Karibu katika Adhimisho Misa Takatifu Mwaka Mpya kutoka Parokia ya Mtakatifu Kamilian Yombo Kiwalani, Jimbo Kuu la Dar es Salaam. ▪︎ Misa imeadhimishwa na Padre Kanuth Martin Nyoni Shirika Wakamilian kutoka Jimbo kuu la Dar es salaam akishirikiana na Mapadre tofauti akiwemo Mapadre wa Mashiriki na Jimbo pamoja Padre... #karibu endelea Kufuatilia, kusapoti na kuiwezesha KANISA TV ili iweze kutangaza zaidi Neno la Mungu kwa njia hii ya Kiteknorojia Tafadhari Subscribe, Like, Comment na Ku share kwa Watu wengine waweza kutuunga mkono kutuma chochote kwajili ya kusapoti Uinjilishaji namba / Yas 0657793511 Jina Dominicus Haule pia M.pesa 0756379340 Dominicus Haule KANISA TV💒🙏, Utume popote ulipo🤝 Raha ya Utume kushirikiana 💒🙏🏾 Raha ya Utume kushirikisha 🙏