У нас вы можете посмотреть бесплатно Mbunge Getere: Wanaopewa ‘boom’ vyuoni ni matatizo, hawasomi wana nidhamu mbaya, wanalewa или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mbunge wa Bunda Vijijini (CCM), Mwita Getere amesema wanafunzi wanaopata mikopo ya kujikimu maarufu kama ‘boom’ wamekuwa na nidhamu mbaya na kulewa shuleni. Kutokana na hayo, amesema angekuwa kwenye nafasi ya kufanya maamuzi angewalipia wanafunzi wenye sifa za kupata mikopo ada pekee, huku suala la matumizi wapatiwe na wazazi wao. Getere amesema hayo wakati akichangia mjadala wa kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa mwaka wa fedha 2024/2025, jijini Dodoma leo Mei 7, 2024.