У нас вы можете посмотреть бесплатно ANATAKA UKISIMAMA UMTUKANE RAIS KISA HAMPENDI 'WANAUMIA' - MBUNGE или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mbunge wa Biharamulo, Mhandisi Ezra Chiwaleso, amesema kuwa baadhi ya watu wanaodai kuwa Bunge la sasa halina mvuto ni miongoni mwa wale wanaoamini kuwa ili kuwa na hoja unaposimama kuchangia Bungeni ni lazima umtukane Rais, na pia hawapendi kusikia Rais akisifiwa. Hata hivyo, Mhandisi Chiwaleso ameonya kuwa mtazamo huo si siasa za kistaarabu, akisisitiza kuwa siasa za kweli zinapaswa kujikita katika hoja zenye tija, heshima na maslahi ya wananchi, badala ya matusi au chuki. Aidha, ametoa wito kwa wadau wa siasa na wabunge kuendeleza mijadala yenye heshima, inayolenga maendeleo ya taifa.