У нас вы можете посмотреть бесплатно WALIOIBA GARI LA WAGONJWA "AMBULANCE" MUSOMA WAKAMATWA ARUSHA | ILIKUWA LITUMIKE KUBEBA WATALII или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Jeshi la Polisi mkoa wa Mara limefanikiwa kuwakamata watu wanne kwa tuhuma za kuiba gari la kubeba wagonjwa (Ambulance) mali ya Manispaa ya Musoma na kulipeleka jijini Arusha kwa lengo la kulibadili matumizi ili litumike kubeba watalii. Kamanda wa Polisi mkoa wa Mara huo,Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi (SACP) Pius Lutumo,amewataja waliokamatwa katika tukio hilo na kwamba watafikishwa mahakamani muda wowote kuanzia sasa kwa mujibu wa sheria. Wakati huo huo, Kamanda Lutumo amesema Jeshi la Polisi limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 190 kwa tuhuma za kujihusisha na ununuzi na uuzaji wa dawa za kulevya katika maeneo mbalimbali ya mkoa wa Mara.