У нас вы можете посмотреть бесплатно Mapokezi ya Diamond Yatikisa SUMBAWANGA / WASAFI FESTIVAL или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mapokezi ya Diamondi Yatikisa SUMBAWANGA ''WASAFI FESTIVAL'' KUFURU! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia jeuri aliyoionesha Mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, kwa kutua na ndege binafsi huko Sumbawanga, ambapo anatarajia kufanya bonge moja la shoo ikiwa ni muendelezo wa tamasha la Wasafi Festival baada ya kuunguruma kwenye mikoa mitatu nchini. Diamond na wasanii wengine watakaopafomu kwenye tamasha hilo akiwemo, Rayvanny, Babu Tale, Queen Darleen, wametua kwenye uwanja wa ndege wa Sumbawanga na kupokelewa na mashabiki wao waliokuwa na shauku kubwa ya kutaka kumuona Diamond. #WASAFIFESTIVAL #SUMBAWANGA Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK https://www.youtube.com/watch?v=L4UGw...