У нас вы можете посмотреть бесплатно MAMA ASIMULIA MTOTO WAKE MWENYE UALBINO ALIVYOIBWA MULEBA na WATU WASIOJULIKANA...... или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MAMA ASIMULIA MTOTO WAKE MWENYE UALBINO ALIVYOIBWA MULEBA na WATU WASIOJULIKANA...... Watu wasiojulikana katika Kijiji cha Bulamila kata ya Kamachumu Wilayani Muleba Mkoani Kagera wameiba mtoto mwenye mwenye umri wa miaka miwili jinsia ya kike ambaye ni Alubino kisha kutokomea nae kusiko julikana. Akizungumza na waandishi wa habari kwa uchungu Mama wa mtoto huyo ambaye amejulikana kwa jina la Judith Richard amesema kuwa tukio la kuibiwa kwa mtoto wake limetokea may 30 mwaka huu majira ya saa mbili na robo nyumbani kwake ambapo mtoto huyo anayeitwa Noela Asimwe Novath aliibiwa na watu ambao akuwatambua na kutokomea naye jusiko julikana. Jishindie Zawadi na Global TV Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV 👉🔥👉https://forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7 ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx