У нас вы можете посмотреть бесплатно JINSI YA KUCHOCHEA MOTO WA MAOMBI Part 1 - Innocent Morris или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
JINSI YA KUCHOCHEA MOTO WA MAOMBI Sehemu ya Kwanza - Innocent Morris Je, unahisi maisha yako ya maombi yamepoa? Je, unatamani kurudi kwenye ule uwepo na nguvu uliokuwa nayo mwanzo, au unataka kwenda viwango vingine vya juu zaidi kiroho? Katika sehemu hii ya kwanza (Part 1) ya somo hili utajifunza kwa kina siri za kurejesha na kuchochea moto wa maombi ndani yako. Maombi sio tu maneno tunayosema, ni uhai wa mwamini. Usikubali madhabahu yako ipoe! Na utajifunza zaidi nini kinasababisha moto wa maombi kuzimika. Pia utajifunza hatua za kwanza za kuuwasha tena moto uliozimika. Sikiliza sasa somo hili. Usisahau KUSUBSCRIBE, KUSHARE, na KULIKE video hii ili kusambaza ujumbe wa Mungu kwa wengi zaidi! Ubarikiwe sana. Innocent Morris +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Tiktok: hscworship Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Link: / holyspiritconnect Facebook Link: / holyspiritconnect YouTube Link: / holyspiritconnect Tiktok Link: / hscworship #holyspiritconnect #innocentmorris