У нас вы можете посмотреть бесплатно Kiberiti Kwenye Pipa la Baruti: Mvutano wa Marekani Israel na Iran Katika Ukingo wa Mlipuko или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mvutano kati ya Marekani, Israel na Iran umeingia hatua mpya yenye presha kubwa ya kijeshi na kisiasa. Kutumwa kwa meli za kivita, kauli kali kuhusu mustakabali wa utawala wa Iran, na hofu ya usalama wa kikanda vinaibua swali zito — je, huu ni mkakati wa kuzuia vita au ni maandalizi ya mgogoro wa moja kwa moja? Katika Ramani ya Dunia EP4, tunachambua nguvu tatu zilizo kwenye mvutano mmoja na hatari inayoweza kubadilisha mizani ya Mashariki ya Kati na dunia kwa ujumla. #RamaniYaDunia #USIsraelIran #MiddleEastTensions #WorldPolitics #Geopolitics #IsraelIranConflict #USForeignPolicy #IranNuclear #GlobalSecurity #WorldWar3 #MilitaryEscalation #InternationalRelations #GlobalCrisis #StrategicAnalysis #WorldNewsToday #MasharikiYaKati Key Moments: 0:00 Opening frame 1:33 Ramani ya Dunia opening theme 1:46 Context Setting 4:29 Dalili za mgongano wa moja kwa moja 7:30 Shinikizo la kisiasa 9:54 Kinachoweza kuwasha moto rasmi 12:11 Intelligence Synthesis 14:53 Athari za kimataifa 17:22 Closing frame 18:53 Vision tv closing theme