У нас вы можете посмотреть бесплатно MAKONDA ACHARUKA, AAGIZA WACHAFU WOTE WASIINGIE MJINI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MAKONDA ACHARUKA, AAGIZA WACHAFU WOTE WASIINGIE MJINI Mkuu Wa Mkoa Wa Dar Es Salaam, Paul Makonda amefungua Kampeni ya kufanya usafi wa Mazingira kwa ajili ya kuweka Jiji safi na amewataka watu wenye tabia ya kuwa wachafu kwenye miili yao kutokuingia mjini kwa kipindi hiki cha ujio wa wageni wa marais zaidi ya 15. Akizungumza na Waandishi Wa Habari leo katika uzinduzi huo uliofanyika Uwanja Wa Ndege Terminal 1 , amesema lengo kubwa ni kuweka Jiji Safi huku akizitaka Taasisi zote za Serikali kuhakikisha kwamba zinakuwa na watu wao Wa usafi katika maeneo yao ya kazi. Aidha amesema pamoja na kuweka Jiji safi pia ni moja ya maandalizi ya kuwaonesha wageni Wa SADC kwamba Tanzania ipo sehemu salama katika usafi hususani Jiji la Dar Es salaam ambapo mkutano huo Wa Marais 16 unakwenda kufanyika. Amesema ugeni wa SADC ni heshima kwa Rais Dkt John Magufuli na Mkoa wa Dar Es Salaam kwa ujumla hivyo lazima Jiji liwe safi wakati wa kuwapikea wageni pia usafi huo uwe endelevu. Amewataka Maafisa Mazingira kuhakikisha miti yote inayopandwa inaota kwani Serikali imekuwa ikitenga bajeti kubwa na pesa hizo hazioneshi matunda na Mazingira chanya kama inavyokusudiwa. Aidha amewapongeza wamiliki wa vyombo vya Usafiri hususani Dala dala kwa mwitiko wao wa kuhakikisha kwamba ndani ya gari kunakuwa na vyombo vya kuhifadhia taka taka ( Dastibini). Pia amewataka watendaji wa mitaa kuhakikisha maeneo yao yanakuwa safi lasivyo watapoteza ajira zao. Naye Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni na Mratibu wa Kampeni ya usafi Mkoa wa Dar, Sara Msafiri, amesema wamejipanga kuhakikisha Jiji la Dar linakuwa safi kwa kila maeneo hususani katika Wilaya zote 5 . Amesema katika zoezi hilo limewahusisha Maafisa Mazingira kutoka katika kila Manispaa zote Dar, Maafisa wa Afya wa Kata zote , pamoja na wakandarasi na vikundi vya usafishaji. #rcmakonda#sadc https://www.youtube.com/playlist?list... https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho