У нас вы можете посмотреть бесплатно Fafanuzi rahisi ya kitabu cha Ufunuo wa Yohana - Kipindi cha Dhiki Kuu (Muhuri nne na Farasi wanne) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Fafanuzi rahisi ya kitabu cha Ufunuo wa Yohana - Kipindi cha Dhiki Kuu (Muhuri nne na Farasi wanne) Na. Bishop Dr. Fredrick Simon KIPINDI CHA DHIKI KUU Dhiki kuu itagawanyika katika vipindi viwili. Kipindi cha Kwanza – Miaka 3½ 1. MAPIGO YA MUHURI SABA (6:1- 8:5) i. Muhuri nne na farasi wanne (6:1-8). Muhuri ya kwanza (6:1,2); Farasi mweupe, naye aliyempanda ana Uta (Upinde), huonyesha kwamba ni Mpinga Kristo atakayekuja kama mtu wa amani, lakini anaiondoa hata ile amani ndogo iliyokuwepo duniani. Kitabu cha Ufunuo wa Yohana kinawataja watu wawili waliopanda farasi weupe (dalili ya amani). Mtu wa kwanza ana uta wa kuondoa amani, naye huyo ni mpinga Kristo. Mtu wa pili hana uta, aitwa Mwaminifu na wa Kweli, huyo atakuja ili auondoe uta, naye huyo ni Yesu Kristo – 19:11-16. “Avikomesha vita hata mwisho wa dunia; Avunja uta, akata mkuki, achoma moto magari.” Zaburi 46:9. Muhuri ya Pili (6:3-4): Farasi mwekundu humaanisha vita ndani na nje ya nchi. “Ninyi mtasikia habari za vita na matetesi ya vita; angalieni msitishwe; maana hayo hayana budi kutukia; lakini ule mwisho bado” MATHAYO 24:6. Muhuri ya Tatu (6:5,6): Farasi mweusi humaanisha njaa kali sana, maana bei ya chakula itapanda mno. Muhuri ya Nne (6:7,8): Farasi wa kijivujivu humaanisha vifo kwa sababu ya njaa kali, wanyama wakali, maradhi, na kwa upanga EZEKIELI 14:21; ZEKARIA 6:2,3. #ufunuowayohana #bishop #fredricksimon