У нас вы можете посмотреть бесплатно KAPU LA MAMA 2020 JINGO LYRICS или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kampeni ya Kapu la Mama 2020 Nyota ya Matumaini ina lengo la kuwezesha utume wa Radio Maria Tanzania kwa kuwezesha Malengo ya kukusanya Tsh. 750 M kwaajili ya kuimarisha utume wa Radio Maria Tanzania nzima. Mwaka huu tutakapowezesha utume huu tutafanikiwa kuipeleka nyota ya Matumaini ya Mama yetu Bikira Maria kwa mikoa ya Geita, Kigoma, Tabora, Shinyanga, Tanga na Musoma wao pia waweze kuisikia Radio Maria Tanzania. Kama mnavyojua Radio Maria sio Radio ya biashara hivyo inatutegemea mimi na wewe ili kuweza kuinjilisha kwa njia ya Radio. Njia za Kuwezesha; Njia ya Simu (100200 Namba ya Kampuni), Vibubu, Bahasha, Money box, Cash na Njia ya Benki Akaunti CRDB namba : 0150303128000 Jina la Akaunti : MARAFIKI RADIO MARIA Karibu tuungane katika Kampeni hii ya Kapu la Mama 2020 Nyota ya Matumaini. #RahayaUtumeKushirikiana #RadioMariaTz