У нас вы можете посмотреть бесплатно SMZ YAJA NA AFYA MOJA MKOMBOZI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
UNGUJA, Zanzibar: KAMATI ya Ustawi wa Jamii ya Baraza la Wawakilishi imepatiwa mafunzo maalum ya Afya Moja yaliyoandaliwa na Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais kupitia Idara ya Kukabiliana na Maafa, kwa kushirikiana na sekta za afya, kilimo na mifugo, ikiwa ni hatua ya kuimarisha uwezo wa kamati hiyo katika kusimamia masuala ya ustawi wa jamii na usalama wa afya. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo, Mwenyekiti wa Kamati ya Ustawi wa Jamii ya Baraza la Wawakilishi Hussein Ibrahim Makungu amesema kuwa mafunzo hayo yamekuja kwa wakati muafaka na yatawasaidia katika kutekeleza majukumu yao ya kusimamia sera, sheria na ustawi wa jamii kwa ujumla. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: / spotileo-176. . HabariLeo: / habarileo DailyNews: / dailynewstz INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09